TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, May 13, 2014

TIMU YA RUGBY YA TANZANIA YATWAA UBINGWA NCHINI KENYA YAISAMBARATISHA MOMBASA RUGBY CLUB..!

 Kikosi cha timu ya Dar Leopard Fc ya Dar Es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja


Na Mwandishi Wetu
Timu ya rugby ya Dar Leopard ya Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma lililopita iliiletea sifa  Tanzania baada ya kuisambaratisha timu ngumu ya Mombasa Rugby kwa kufunga mabao 20-5.
Mchezo mkali ulikuwa wa kukata na mundu ulifanyika kwenye uwanja wa Mimbasa ambapo timu ya hiyo toka Kenya ilianza kuishinda Dar Leopard kabla ya vijana hao wa Jk kucharuka na kushushia zigo hilo la mabai kibao.

No comments:

Post a Comment