TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, May 8, 2014

MGANGA WA MASTAA BONGO KUMALIZA UGOMVI WA WEMA NA KAJALA, YADAIWA AMETUMWA NA DIAMOND KUFANYA HIVYO..!



 WEMA SEPETU
 DOKTA KAMDEGE

 WEMA SEPETU & KAJALA MASANJA
Na Mwandishi Wetu
Yule mganga maarufu nchini wa mastaa mbalimbali wa filamu na muziki pamoja na vigogo wa Serikali amedaiwa kujipanga kwa ajili ya kumaliza bifu za wasanii hao waliokuwa marafiki wa kuzikana kabla ya kuhitirafiana hivi karibuni.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha karibu na mastaa hao kilisema kuwa" Kaka ugomvi wa Kajala na Wema unakwenda kuisha hivi soon kwani tayari yule mganga wa Diamond na mastaa wengine ameshaitwa ili kuja Dar kwa ajili ya kukaa nao chini kisha kuyamaliza hayo" Alisema mtu huyo
Hata hivyo mtandao huu uliwasiliana na mganga huyo kupitia simu yake ya kiganjani 0788-844490 alisema" Kwa sasa nipo Mwanza lakini Jumatatu ntarejea Jiji Dar na nitakaa chini na hao vijana wangu kwa ajili ya kuwapatanisha kwani nawamudu wote hivyo haitokuwa kazi ngumu kufanikisha jambo hilo" Alisema Dokta Kamdege

No comments:

Post a Comment