TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, May 14, 2014

HUYU NDIYE MKUDE ANAEWAVUNJA MBAVU WASIKILIZAJI WA E-FM RADIO 93.7 NI MKULIWA WA MPUNGA NA MAFENESI MTIZAME HAPA..!



Kwa wasikilizaji wa radio hii namba moja Tanzania E-Fm 93.7  wanamfahamu sana huyu MKUDE kutokana na vituko vyake ambapo amekuwa akiwavunja mbavu wasikilizaji kiasi cha kuwasababishia maumivi ya kifua kutokana na vituko vyake, hapa alikumbana uso kwa uso na Mh: Idd Azani shambani kwake alipomtembelea ili kujua njia ya ulijamaji mpunga na mafenesi.

No comments:

Post a Comment