Jamani Wadada Tuweni Makini na Mavazi hasa tunapoenda sehemu zenye
mkusanyiko wa watu mbali mbali ..Kama kariakoo na mjini City Center Kwa
hapa Dar si Sehemu nzuri ya kuvaa mavazi mafupi yenye kuonesha viungo
adimu katika mwili...Huyu Dada alimfika baada ya kuvaa kimini na
kukatiza mitaaa bila woga ....Ona kundi ka wanaume wenye uchi wakimfuata
nyuma huku mate yakiwadondoka.....Mweeeee
"UJIO WA 93.7 FM KUINUA VIPAJI VYA WANAMUZIKI WACHANGA"
No comments:
Post a Comment