MILIONI 70 ZADAIWA KUMUHAMISHA MTANGAZAJI GODWIN GONDWE TOKA RADIO ONE KWENDA CLOUDS MEDIA. ANGALIA HAPA KINACHOENDELEA XDEEJAYZ INAKUPA YA MOTO HIYO..!
Baada ya kuzuka kwa taarifa kuwa Mtangazaji Maarufu wa Redio One kuhamia Clouds Medei kutoka Radio One na ITV Godwin Gondwe maarufu kma Double G taarifa mpya zimesema mtangazaji huyo isiingekuwa rahisi kukwepa kitita kinono cha pesa alichokuwa pandiwa na Clouds Medio ambacho kinadaiwa ni milioni sabini. Akiongea na Xdeejayz mmoja wa marafiki wakubwa wa mtangazaji huyo alisema ni kweli kuna taarifa hizo za Gondwe kupandiwa dau hilo nono hivyo isingekuwa rahisi kukwepa.
Hata hivyo ili kupata ukweli wa mambo Xdeejayz ilimtafuta mtangazaji huyo kupitia simu yake ya mkononi ili kuelezea kinacho lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana licha kwamba hadi sasa anatafutwa na waandishi wetu ili aweke bayana hayo mambo.
Upande wa pili wa shilingi pia mtandao huu ulimtafuta Mkurugenzi wa Clouds Medio Luge Muhatahaba ili azungumzie ishu hiyo lakini simu yake iliita hadi kukata bila kupokelewa.
No comments:
Post a Comment