Zaidi ya pesa hizo pia Chameleone anamiliki nyumba ya kifahari, magari kama Escalade na mengine pamoja na vitega uchumi.
Chameleone kama anavyojiita, Dr Mayanja anapata kiasi kikubwa cha pesa kwa kufanya matamasha sehemu mbalimbali duniani pamoja na kuandaa yake binafsi.
Kama wiki hii ameandaa tamasha kubwa ambalo
amelipa jina la Tubonge East African concert linalotegemewa kushirikisha
wasanii wa africa mashariki na hadi sasa limeshadhaminiwa na makapuni makubwa
ya Uganda.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA
No comments:
Post a Comment