TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, December 17, 2013

NATAKA KUFIKA LEVO YA KIMATAIFA ZAIDI YA P SQUARE- MWANAMUZIKI D MANYUTI..!!!

Na Mwandishi Wetu
Mwanamuziki Chipukizi kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Abdallah Ramadhani  Manyuti "D-Manyuti" anaetamba na wimbo wake mpya wa "Tamtam" amesema fikra zake kwa sasa ni za kimataifa na si Tanzania tena kwa vile amejipanga kufika huko hivyo kwa uwezo wa Mungu atafika bila shaka.
Akiongea na Xdeejayz mwanamuziki huyo alisema" Unajua maisha ni malengo hivyo kila utakachokipanga kitakuwa hivyo kwa hiyo mimi nimepanga kuufikisha muziki wangu kwenye levo ya dunia na naamini Mungu atanijalia hivyo" Alisema mwanamuziki huyo
Aidha D-Manyuti anashukuru kwa sasa amepata meneja wa kumsimamia kazi zake ambae anaitwa Maneno ambae nia ndiye meneja burudani Club Jakalanda hivyo anaamini kwa uzoefu mkubwa aliokuwa nao Maneno basi atamsaidia kufanikisha ndoto zake .
 Wimbo huo amemshirikisha mwanadada Missyuna na umekuwa wimbo unaoongzwa kupigwa sana kwenye vituo vya redio nchini.
"GAZETI LA MASKANI BONGO MTAANI KILA JUMATANO, DAKA KOPI YAKO KWA TSH 500 TU"

No comments:

Post a Comment