Mwili wa Mabina baada ya kushambuliwa.
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
BAADA ya mauaji ya Diwani wa Kata ya Kisesa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clement Mabina (pichani) yaliyotokea Desemba 15, mwaka huu, Jiji la Mwanza limekuwa la moto, baadhi ya watu wana hofu, wengine kukimbia makazi yao kutokana na msako mkali wa polisi kuwanasa watuhumiwa.
Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa jijini hapa, hali imekuwa tofauti
na matukio mengine kwani askari wamekuwa wengi wakihakikisha wanawanasa
watuhumiwa BAADA ya mauaji ya Diwani wa Kata ya Kisesa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clement Mabina (pichani) yaliyotokea Desemba 15, mwaka huu, Jiji la Mwanza limekuwa la moto, baadhi ya watu wana hofu, wengine kukimbia makazi yao kutokana na msako mkali wa polisi kuwanasa watuhumiwa.
MAPOKEZI MAKUBWA YAISUBIRI TIMU YA XTREME DEEJAYZ MKOANI MOROGORO, KAMANDA WA POLISI NA MBUNGE ABOOD KUONGOZA MAELFU YA VIJANA KUSHUHUDIA UZINDUZI HUO"
No comments:
Post a Comment