
Machapta Inc imeachia wimbo kwenye mitandao ya kijamii, Wimbo huo umeshafanyiwa video hivi karibuni na kampuni ya Xtreem Video, kwa mujibu wa Msimamizi wa Chismo amesema uzinduzi wa Video ya Chuchuchu utafanyika kinondoni ila sehem bado aijatajwa ila kwa sasa ameachia Audio hii kwenye mitandao na kwenye radio tofauti tofauti, Kiukweli chuchuchu inafanya vizuri sana kwenye media na tunasubili kuona video yake.
No comments:
Post a Comment