Hatimaye mmiliki wa kasha la mizigo lililonaswa katika bandari ya mombasa likiwa na sanamu za vibwengo vya kutisha, amejulikana
Kwa
mujibu wa taarifa rasmi, kampuni ya 'Market Masters' wanaomiliki maduka
ya Village Market hapa Nairobi wamekiri kuagiza shehena hiyo kwa
sherehe zao za kila mwaka. Wakati huo huo, mwanasiasa Omingo Magara
amekanusha kuagiza shehena hiyo na akaitaka halmashauri ya ushuru nchini
KRA kumuomba msamaha mara moja.
No comments:
Post a Comment