TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, August 26, 2013

MCHAWI ALIYEDONDOKA NA UNGO ASEMA ALIKUWA ANAWAHI KIKAO CHA WACHAWI NCHINI BRAZIL



   
Na Mwandishi Wetu kwa msaada wa mtandao

Mchawi hivi karibuni kaleta kizaa zaa huko Dzivarasekwa  alipokutwa na 'birthday suit' yake(uchi)   Sabina Rokuzhe alikiri kuwa yeye ni mchawi na amedondoka alipokuwa anaruka kwenye ungo akitokea kwenye trip yake ya kuloga huko Masvingo.

Alikutwa kwenye nyumba ya Mbuya Annah Kamupaundi. Akaanza kuwaomba watu waliomzunguka wasimpige ,akasema pia katembelea nyumba kadhaa katika eneo hilo.

Mmoja wao aliyemuona asubuhi mapema ni Mrs Alice Hundi (37) ambae alisema aliamka baada ya kusikia mayowe ya mwanamke kwenye saa nane hivi usiku.

"Nilipomuona yuko uchi,nilimmwagia  chumvi usoni, akaanguka na kuanza kujizungusha zungusha chini. Tuliita polisi na akachukuliwa"
Aidha katika hatua nyingine mara baada ya kuongea mengi ili kujinusuru na wanchi wenye ghazabu mchawi huyo baadae alifunguka kuwa kumbe alipata ajali tu ya kawaida na alikuwa ameongozana na wachawi wenzake wanne walikuwa wanawahi kikao cha kichawi nchini Brazil.
 
Hata hivyo Sabina Rokuzhe alingeza kusema kuwa katika kikao hicho yeye alikuwa mtu muhimu sana hivyo lakini kwa bahati mbaya hiyo inabidi kikao hicho kiahirishwe kwa vile nyaraka zote alikuwa nazo yeye.

Polisi walitoa uhakika kwamba amechukuliwa na atapewa msaada wa psychiatric.

No comments:

Post a Comment