TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, July 11, 2013

MSOUTH KATO ANOGESHA DISCO KWA FILIMBI

 Kijana huyu anaejulikana kwa jina la MSOUTH KATO mwishoni mwa mwezi wa 5 mkoani dodoma katika ile club ya NEW MAISHA CLUB alitunukiwa zawadi ya HEAD PhONE za BIT BY DRE kutoka KILIMANJARO PREMIUM LAGER kwa kulinogesha disco kwa filimbi Kiukweli hakuna alielalamika na kelele za filimbi hiyo bali watu walikuwa wanapenda na kuifurahia filimbi jinsi ilivyokuwa ikifata nyimbo na hypying za hyperman hk. wakati wakipiga XTREME DEEEJAYZ DVJ MAJAY NA HYPERMAN HK kwenye ile tour kubwa ya mara moja kwa mwenzi ya TRIPLE BASH inayozunguka club za MAISHA , DAR ,DODOMA  na  MTWARA inayodhaminiwana KILIMANJARO PREMIUM LAGER BONGE L KIBURUDISHO KWA WATANZANIA.
MSOUTH KATO akiwa na zawadi yake ya HEAD PHONE za BIT BY DRE

1 comment: