TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, April 10, 2013

SNURA KUSHUTI VIDEO YA WIMBO WAKE WA MAJANGA KATIKA KIJIJI CHA MAGWEPANDE

 Kijiji cha magwepande kilichozungukwa na mahema kila kona ambapo snura atashutia video yake ya wimbo wa majanga, Akiongea na xdeejayz manager wa snura HYPERMAN HK alisema jumamosi hii ndio wanategemea kufanya video ya msanii wake snura katika kijiji cha mgwepande kilichopo mkoa wa pwani.maeneo ya bunju B.Alitaja video hiyo itafanywa na campuny mbili tofauti na kwa wakati mmoja katika location moja kwa wakati mmoja.

 Snura akifanya yake

Snura akiwa katika moja ya matamasha yake

No comments:

Post a Comment