TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, April 15, 2013

R.i.P BABU SAMBEKE

 Mfanya biashara mkubwa wa jijini moshi na arusha babu sambeke amefariki dunia jana kwa ajali ya ndenge ilioanguka katika uwanja wa ndege wa arusha, baada ya kutaka kushuka, akiwasiliana na watu wa mawasilianokatika uwanja huo wa ndege walimwambia kama yuko tayari kushuka ashuke na baada ya musa mfupi mawasiliano yakapotea wakati marehemu sambeke kabla yakutua gafla ndio ndege hiyo ikaanguka. r.i.p babu sambeke.



HABARI za kusikitisha tulizozipokea muda mfupi uliopita ni kwamba mfanya biashara maarufu mkoani Kilimanjaro  anayefaamika kwa jina la Babu Sambeke amefariki dunia kwa ajali ya ndege huko mkoani Arusha, ndege hiyo ambayo mmiliki alikuwa ni Babu Sambeke inasemekana imepata ajali leo jioni na kupelekea vifo vya watu wawili ambao ni Babu Sambeke na mtu mwingine ambaye mpaka sasa jina lake kalijatambulika. Inasemekana ajali hiyo imetokea jijini arusha ambapo babu alikwenda kwa shughuli zake za Kibiashara.

No comments:

Post a Comment