TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, March 26, 2013

FINA MANGO AVAMIWA NA MAJAMBAZI 8



Alitewahi kuwa mtangazaji wa Clouds FM, Fina Mango, amevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia jana, akiwa nyumbani kwake na familia yake.majambazi hayo yapataya 8, yalivamia na kuchukua pesa taslim, pamoja na mali kadhaa ambazo Fina hakutaja ni mali gani na fedha kiasi gani pale alipoandika kupitia mtandao wa twitter.

nimejaribu kumtafuta kwa ajili ya info zaidi, lakini hakuweza kupatikana baada ya kuambiwa simu yake pia ni moja kati ya vilivyobebwa na majambazi hayo. katika tukio hilo hakuna aliejeruhiwa

No comments:

Post a Comment