TANZANIA MUSIC POWER ENTERTAINMENT YAZINZUA TUZO ZA WAPENDANAO
Mkurugenzi wa Kampuni ya
Tanzania Music Power Entertainment, Phabian Duwe akifafanua jambo wakati
wa kutangaza tuzo za wapendanao zitakazofanyika Februari 14 kwenye Hoteli ya
Demag iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja wa TMPE,
Evelyn Munisi na Ludovick Mugasha. (Picha zote na Dande JR)
Mwanamuzi, Rogers Lucas ambaye atatoa burudani katika
utoaji wa tuzo za Wapendanao akionesha umahiri wake wa kupiga gitaa wakati wa
kutangaza tuzo kwa wapendanao zilizoandaliwa na Kampuni ya Tanzania Music Power
Entertainment ya jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo,
Phabian Duwe na Meneja wa TMPE, Evelyn Munisi
No comments:
Post a Comment