Matukio haya yametokea kwa nyakati tofauti, na asilimia 99 waliofumaniwa ni waume za watu na wengine ni wake za wake ,kwa style hii ukimwi utakwisha kweli? na je tutapona/? ushauri , tujenge tabia za kumlizisha ulienae hili asitafute mwengine nje.usipofanya hivyo utakuletea ukimwi ndani.ni hayoo tu.
No comments:
Post a Comment