TANGAZO MAALUM
.
TANGAZA NA SISI
Tuesday, April 23, 2013
FAHAMU ALICHOSEMA KOCHA WA BRAZIL LUIZ FELIPE SCOLARI KUHUSU TOFAUTI YA RONALDO NA MESSI
Monday, April 22, 2013
DIAMOND ALIPOCHAFUA HALI YA HEWA MAISHA CLUB KWENYE KUMTAFUTA ALIEMWAGA POMBE YA MADEE
| Nilipowasili niliutana na My Big Bro Chid Benz nae akiwa amekuja kuchek show... |
| Mariam & Esma khan walikuwepo kumpa support madee usiku wa Jana....pia na dada yangu halima kimwana ayupo pichani nae alikuwepo... |
| Moja kwa Moja niliena backstage kuonana na madee kupanga mpango wa kumsaka aliemwaga pombe yake |
| DJ OMMY CRAYZ ON THE 1 N 2 |
| Sema eeeehhhhhh....Semaaaa Ooooohhhh..... |
| Yaniii.......Mizuka ikapandaa pale umati wa watu ulivolipuka na kuanza kuimba sambamba na mimi.. |
Friday, April 19, 2013
ANGALIA MAUJANJA YA DUWE SANTANA KWENYE SEGMENT MPYA XTREEM STREET KWENYE XTREME LIVE@DTV
Mpango mzima upo katika televion yako ya vijana na burudani dtv angalia leo kuanzia saa 4 usiku katika kipindi cha xtreme live na vj penny
Thursday, April 18, 2013
NYUMA YA PAZIA : MUZIKI GANI BY NAY WA MITEGO FT DIAMOND PLATNUMZ
| LOCATION ILIANZIA HAPA.... |
| Matayarisho yakianza....!! |
| Lights On.....Camera On Set....!! |
| Mara Bangi ,Mara Matusi sa ndo Muziki gani....? |
| Usafii kama kawaida yangu.....!! |
| DJ Ommy Crayz the only handsome dj in town akiwa na msanii nguli kutoka South Africa Qboy Mnyama....!! |
| Dada yangu kipenzi Halima kimwana alikuwepo asubuhi asubuhi kuakikisha mambo yakienda saawia...along side with Twins Fashion...!! |
| Diamond Platnumz with Flowers....! |
| From Left to Right.....Qboy Mnyama...Esma Khan,Faridah,Mariam and the President Himself Diamond...!! |
| Bebez wakali waliofurika kushow Love kwenye video ya Muziki Gani...! |
| President wa wasafi Diamond Platnumz akiwa na flowers...! |
| The Bigdaddy Himself Adam Juma akifanya yake....!! |
| Ilikuwa Location upande wa Casino..... |
| Baada ya kumaliza shooting ya pale casino,safari ilianza kuelekea sinza kumaliza shooting kwenye Graphic iliyochorwa na Mkong'oto Jazz Band....!! |
| WASAAAFIIIIII......!! |
| Maandalizi yakaanzia hapa...baada ya kuwasili sinza....!! |
| MKONG'OTO JAZZ BAND....!! |
| Jamaa huyu ndo aliechora graphics zote kutoka mkong'oto jazz band na kuchora michoro tofauti ....!! |
| on set...location #2 sinza....... |
| DJ OMMY CRAYZZ...! |
| Kwa michezo ya kuringa ringa ndio wanadata.... |
Subscribe to:
Posts (Atom)












