Kijana wa kitanzania ambae inaelezwa ni bilionea mtoto maarufu kama Fathaget au Billgate wa Tanzania ameendelea kuteka akir za watu kiasi cha kuwachangaya kutokana na ushauri wake wa kitatibu na kutibu magonjwa yote lakini kubwa zaidi namna mtu atkavyopenda kupata mtoto wa jinsia gani au kama mapacha basi inawezekana kuwapata ili amradi ufuate njia unazoelekezwa. Akiongea na gazeti la Kiu hivi karibuni Dokta huyo alisema ndiyo mungu aliweka watu wenye uelewa wa elimu na wa kawaida ambapo wao kutumia elimu yao inadaida wawasaidie watanzania kuwaelimisha kama hicho anachokifanya yeye kuwapa watu ushauri wengi walikuwa hawajui kama unaweza kupanga kuzaa mtoto wa jinsia unayoitaka au hata mapcha watatu wawili nk. |
| | | | |
|
No comments:
Post a Comment