PAMOJA RECORDS YASHUSHA VIFAA VIPYA VYA STUDIO, YATOA PUNGUZO KWA WASANII WACHANGA KUREKODI...!
Msanii na Prodyzuza nyota nchini Nas B amekarabati studio yake na kutoa punguzo kwa wanamuziki wachanga. Akiongea na vyombo vya habari mbalimbali Nas B ambae studio yake ipo Magomeni Mapipa alisema kuwa ameamua kuwainua wasanii wachanga ili nao waweze kufikia malengo na wasanii wote wachanga wakiwemo wa kwaya ambao wapo tayari wapige namba 0714-595432.
No comments:
Post a Comment