Pages

Saturday, July 5, 2014

Dr Jose Chameleone ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale inatisha atumia lugha ya kiswahili..!



walewale
Mkali huyu kutoka Uganda ambaye nyimbo zake Badilisha na Valuvalu bado zinapendwa, ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale. Kama kawaida yake ameimba kwa lugha ya kiswahili akichangaya na lugha ya kiganda. Unaweza kuusikiliza na kudownload hapa.

No comments:

Post a Comment