Pages

Thursday, June 5, 2014

DUH! BALAA WAKATI SERIKALI IKIPINGA MARUFUKU MAKUNDI YA KUCHEZA UCHI MAJUKWAANI, KUNDI JIPYA LAIBUKA LIPO MWANANYAMALA LINAJIITA TAKO CAMP NI WATOTO WA FAMILIA MOJA, XDEEJAYZ MZIGONI..!


 Wasichana wa kundi la TAKO CAMP la mwananyamala kama linavyoonekana pichana wakifaya mazoezi kwa ajili ya kutoa shoo kwa wateja wao, hata hivyo staili ya uchezaji wa kundi hili ni taofauti na makundi mengine kama ya Khanga Moja, Kitu Tigo K kwa Mkeo, Baikoko na Kimavi Group la Chanika, Tako Camp wao hupokea mialiko ya kwenda kucheza nyumbani kwa mtu hasa kama una part au sherehe yeyote wanakuja fasta kwa makubariano ya kawaida tu. 
SOURCE: XDEEJAYZ LIVE

No comments:

Post a Comment