Pages

Monday, May 5, 2014

WEMA, DIAMOND WAKWARUZANA UKUMBINI WEMA AONGEA KWA HASIRA HADI MACHOZI CHUPU CHUPU KURUSHIANA MAKONDE ANGALIA PICHA ZA TUKIO HILO..!

JUMAMOSI USIKU KWENE TUKIO LA UTOAJI TUZO ZA KILI AWARDS 2014 KULITOKEA MTAFARUKU KIDOGO KATI YA WEMA NA DIAMOND BAADA YA MWANAMUZIKI HUO KUPOKEA TUZO SABA KWA MPIGA.
TUKIO HILO LILILONASWA NA XDEEJAYZ KWA USIRI MKUBWA  LILITOKE MAHARA WALIPOKUWA WAMEKAA MASTAA HAO BILA KUFAHAMIKA NINI CHANZO CHA KUGOMBANA NUSU YA KURUSHIANA NGUMI.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment