HUYU NDIYE MKUDE ANAEWAVUNJA MBAVU WASIKILIZAJI WA E-FM RADIO 93.7 NI MKULIWA WA MPUNGA NA MAFENESI MTIZAME HAPA..!
Kwa wasikilizaji wa radio hii namba moja Tanzania E-Fm 93.7 wanamfahamu sana huyu MKUDE kutokana na vituko vyake ambapo amekuwa akiwavunja mbavu wasikilizaji kiasi cha kuwasababishia maumivi ya kifua kutokana na vituko vyake, hapa alikumbana uso kwa uso na Mh: Idd Azani shambani kwake alipomtembelea ili kujua njia ya ulijamaji mpunga na mafenesi.
No comments:
Post a Comment