Pages

Wednesday, May 21, 2014

ANGALIA TUKIO LA MTOTO MDOGO ALIVYOKATWA YOTE NA PANGA, KISA KIKIWA NI SHILINGI ELFU 10, INASIKITISHA SANA..!


mtotoHii inatokea maktaba ya matukio ya kusikitisha kwenye idara ya  Hekaheka na leo ni kuhusu dada aliyeamua kumkata mikono kwa kisu mtoto wa ndugu yake kisa kikiwa ni shilingi elfu 10 ambazo anadai aliibiwa na mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba,hapa utamsikia mtoto mwenyewe na mwalimu aliyempokea akiwa kachomwa moto.

No comments:

Post a Comment