A-Z YA KIFO CHA ADAMU KUAMBIANA, AMEFIA LOCATION AKIREKODI FILAMU YAKE TAYARI ALIKUWA AMEREKODI SEEN 10 KATI YA 40, KUMBE KABRA YA KIFO ALIHARISHA DAMU SIKU NZIMA..!
Na Mwandishi wa Xdeejayz Tanzania Huu ndiyo ukweli wa kifo cha msanii wa bongo movie Adam Kuambiana ambae amefia location alirekodi filamu yake mpya ambapo alikuwa amesharekodi seen 10 tu kati ya 40 ambapo siku ya kifo chake imedaiwa alizidiwa mapema kwa kujisaidia haja kubwa yenye damu nyingi ambapo baadae akazidiwa na alifariki akipelekwa Hospital kupatiwa matibabu. Mungu ailaze mahara pema peponi Amina. CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA
No comments:
Post a Comment