Pages

Thursday, April 17, 2014

RIHANNA AOMBA RADHI KWA PICHA ZA UTUPU ASEMA POMBE ILIMZIDI KICHWANI BAUNSA WAKE LAWAMANI..!

Unapozungumzia msanii asiyeisha vituko basi unamzungumzia Rihanna, Jana mtandao wa TMZ na MTV Base uliachia picha za mwanadada Rihanna akiwa karibi asilimia 80 ya mwili wake ukiwa mtupu. Rihanna alipiga picha hizo kwa ajili ya magazine kubwa tu huko marekani

credit: xdeejayz tanzania

No comments:

Post a Comment