Pages

Wednesday, April 23, 2014

MTANGAZAJI HUYU AKITIA NAJISI KITUO CHA ITV KWA NJAA ZAKE, AKAMATWA AKIIBA VITU VYA KIJINGA KABISA DUKANI HUKO MAREKANI AIBU YAMFANYA KUSHINDWA KURUDI TANZANIA..!


Mugshot of Rachel Udoba





Mtangazaji wa Radio One Rachel Udoba amekamatwa huko Atlanta/USA baada ya kukutwa akiiba katika duka ,, mtandao wa georgia-mugshot-search.com umethibitisha taarifa hizo, huku msichana huyo akitambulishwa kuwa ametokea nchi ya Gwinnett, GA, pia kupitia mtandano huo wamethibitisha kuwa mwanadada huyo yupo huru sasa.

No comments:

Post a Comment