Pages

Sunday, April 6, 2014

MAFIKIZOLO NDANI YA NEW MAISHA CLUB DAR

 Pacha Mnyama handsome boy wa ilala kushoto akiwa na Big boss, ndani ya maisha club dar.. Raha sanaa... Follow Instagram: Newmaishaclub




 Huyu ndio mzee wa Kudagy dagy A.K.A Baby wa woote.. Ndani ya Pozi la Ukweli Maisha club, Nisham. Folow kwa Instagram: Newmaishaclub


 Wadau wakubwa sanaaa hawa jamaa New Maisha club zooote Tanzania wameshazitembelea, Safi sanaa wanaa.
INST: Newmaishaclub

 Mafikizolo Ndani ya New Maisha Club Dar ijumaa wakila raha, Mdada alidiriki kutamka mwenye kwenye MIC, " New Maisha Club is the best Club i have been in the whole Africa" Hayo kasema yeye. karibu New maisha club tanzania.
Tufuatilie kwenye Instagram: Newmaishaclub





 Mwanadada wa Mafikizolo akila Rahaa ndani ya New maisha club Dar es salaam, Tanzania.
Follow Newmaishaclub kwa Instagram










No comments:

Post a Comment