Pages

Monday, April 14, 2014

BIA TAMU JAMANI ACHENI UTANI, ANGALIENI WALEVI HAWA WALIVYOJITOA MUHANGA NA MAFURIKO YOTE, ILIKUWA MIKOCHENI HII..!

Na Sakina Shabani wa Xdeejayz
Vijana ambao hawakufahamika majina yao walinaswa na camera za Xdeejayz juzi Jumamosi wakiwa baa moja wakila kilaji licha ya maji kujaa ndani ya baa hiyo kiasi cha kufika magotini na baadae kwenye kifua.
CREDIT XDEEJAYZ TANZANI

No comments:

Post a Comment