Pages

Wednesday, March 5, 2014

WANANCHI MKOANI MBEYA WAITAKA ALBAMU YA MESSI J CHEKULA IKAZINDULIWE NA HUKO,, HII NDIYO VIDEO YAKE ITIZAME



BAADA YA KUFANYA VYEMA KWENYE UZINDUZI WAKE ULIOFANYIKA TAREHE 2 MWEZI HUU JIJI DAR WAKAZI WA MKOANI MBEYA WAMEUMBA MWANAMUZIKI HUYO KWENDA KUZINDUA ALBAMU YAKE HUKO ILI NAO WAPATE UHONDO,
AIDHA MWANAMUZIKI HUYO ALISEMA ABLAM YAKE INAPATIKANA NCHI NZIMA NA KAMA KUNA WANAOHITAJI KUIPATA KAZI HIYO WAMPIGIE SIMU NAMBA 0715-880584

No comments:

Post a Comment