Pages

Friday, March 28, 2014

NJAA MBAYA JAMANI ANGALIENI SIMBA ALIVYOMCHENJIA MAMBA KISA MZOGA WA KIBOKO UTADHANI ANAWEZA KUUMALIZA WOTE..!


Lion fights crocs over hippo

Lion fights crocs over hippo


Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippoNi jambo la nadra sana kuona wanyama wanaosifika kwa kuwala wenzao mbugani kuonekana wakipambana, katika picha hizi zilizopigwa na mtaalam wa masuala ya teknolojia kutoka San Francisco nchini Marekani, Richard Chew aliyekuwa kwenye mapumziko na mke wake  kwenye mbuga ya Maasai Mara iliyopo Kenya aliweza kunasa tukio la mamba akipambana na Simba mwenye njaa wakigombea mzoga wa kiboko aliyekufa, nisikuchosh.
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment