HABARI MPYA: BODABODA JIJINI DAR WAKO KWENYE MAANDAMANO MUDA HUU KUELEKEA OFISI ZA MKUU WA MKOA DAR KUPINGA KUZUIWA KUINGIA MJINI KWA BODABODA ZAO. XDEEJAYZ TANZANIA LIVE
Habari mpya zilizofika amezani kwa Xdeejayz muda huu zinasema kuwa kuna maandamano makubwa yameandaliwa na waendesha bodaboda Jijini hada wa Wilaya ya Ilala na muda huu yako maeneo ya Buguruni yanaelekea kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh Meck Sadiq. Xdeejayz inaendelea kukutaarifa hatua kwa hatu tukio hilo
No comments:
Post a Comment