Mh
Shabiby ambaye ni Mbunge na pia ni mfanyabiasha maarufa sana wa ndani
na pia nje ya nchi inasemekana, na pia ni habari yenye uhakika kabisa
baada ya paparazi wetu kupekua huku na kule juu ya Mh huyu mkongwe
kwenye biashara, Paparazi wetu ametutonya kwamba Mh Shabiby Amefanya
kufuru
ya pesa baada ya kununua mabasi mapya kabisa kumi na sita (16) ambayo
ambayo ni New Model na hayajawahi kuingia Africa kabisa, Na amenunua
yote 16 kwa wakati mmoja, na pia chanzo cheti cha kuaminika kiliendelea
kututonya kwamba baada ya kuingia hayo mabasi 16,yatakuja mengine mengi
zaidi ya hayo ambayo bado hayajajulikana yatakuwa mangapi, Unaambiwa
basi hizo kwa zipo kwenye maji zinakuja nchini:
 |
|
No comments:
Post a Comment