Na Shumba Msitu Habari mpya zilizonaswa na gazeti la Maskani Bongo zinasema kuwa msanii Irene Uwoya nae anadaiwa kwenda nchini China kufanya biashara huko kwa lengo la kujiongezea kipato. Habari za uhakika zilizonaswa na gazeti hili zilisema kuw Owoya ameondoka nchini kabla hata ya mwaka mpya kuelekea nchini huko kufanya biashara ambayo haifahamiki hadi sasa"HABARI ZAIDI JUU YA DAKA KOPI YA GAZETI LAKO LA MASKANI BONGO LEO MTAANI LINA HABARI NZIMA..!
No comments:
Post a Comment