Pages

Wednesday, January 8, 2014

DIAMOND AVAMIWA NA WAREMBO HOTELINI USIKU WA MANANE, WALAZIMISHA PENZI LAKE KINGUVU, XDEEJAYZ MZIGONI..!



Na Mtu Msitu
Mwanamuziki Nasib Abdul"Diamond"  mwishoni mwa wiki iliyopita alizushaa balaa la aina yake kwa kusababisha vurugu ndani ya Hotel aliyokuwa amefikia  ijulikanayo kwa jina la Naf Beach iliyopo pembezoni mwa bahari baada ya wanawake kumvamia usiku mnene. 

"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI LEO JUMATANO DAKA KOPI YAKO ILI UPATE KISA HIKI CHA DIAMOND"
i.

No comments:

Post a Comment