Pages

Thursday, December 26, 2013

ULOKOLE WAMSATAAFISHA SANAA MZEE MAGALI, KUTIMKIA MAREKANI FEB 2014



Na Sakina Shabani
Msanii nyota kwenye tasinia ya filamu nchini Charles Thobias Magali " Mzee Magali" amsema kuwa huenda mwaka huu 2013 ukawa mwisho wake wa kuigiza kwani anahitaji kuachana na sanaa na anataka kwenda Marekani kula maisha na mchumbaake wake wa muda mrefu ambae ni mzungu muhudumu wa Kanisa.
Akiongea na Maskani Bongo Mzee Magali ambaye yuko Mkoani Morogoro akimalizia kazi za watu alizochukua hela kwa ajili ya kuigiza lakini baada ya hapo atafunga kuigiza tena kwani mwakani miezi anasafari hiyo ndefu angani.
HABARI ZAIDI UTAZIPATA NDANI YA GAZETI LA MASKANI BONGO LIPO MTAANI KILA KUMATANO

No comments:

Post a Comment