Watu wengi wamekuwa wakisubiria siku ifike ili wajue timu yake itakutana
na nani kwenye hatua ya mtoano kwenye uefa champions league 2013-2014.
Mechi zitachezwa mwezi February 2014.
Mabingwa wa mwaka jana Bayern
Munchen amepangiwa na Arsenal.
| Manchester City | vs | Barcelona | ||
| Olympiakos | vs | Manchester Utd | ||
| AC Milan | vs | Atletico Madrid | ||
| Bayer Leverkusen | vs | Paris Saint-Germain | ||
| Galatasaray | vs | Chelsea | ||
| Schalke | vs | Real Madrid | ||
| Zenit St Petersburg | vs | Borussia Dortmund | ||
| Arsenal | vs | Bayern Munich |

No comments:
Post a Comment