Pages

Friday, December 13, 2013

TIMU YA TAIFA AIBU KUBWA, YATANDIKWA NA ZAMBIA YAFUNGWA 6, NGASA, CHANONGO WADONDOSHA MACHOZI..!!!

Baadhi ya wachezaji wa Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'.
Timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeshika nafasi ya nne michuano ya Kombe la Chalenji 2013 iliyofanyika nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Zambia kwa penalti 6-5. Dakika 90 za mchezo zilimalizika kwa bao 1-1.
Bao la Zambia lilifungwa na Ronald Kampamba katika dakika ya 51 kabla ya Kili Stars kusawazisha kupitia kwa Mbwana Samatta dakika ya 65 kipindi cha pili.
Wachezaji wa Kilimanjaro Stars waliopata penalti ni Mbwana Samatta, Erasto Nyoni, Himid Mao, Amri Kiemba na Ramadhan Singano 'Messi'. Waliokosa ni Haruna Chanongo, Mrisho Ngassa na Kelvin…
Baadhi ya wachezaji wa Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'.
Timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeshika nafasi ya nne michuano ya Kombe la Chalenji 2013 iliyofanyika nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Zambia kwa penalti 6-5. Dakika 90 za mchezo zilimalizika kwa bao 1-1.
Bao la Zambia lilifungwa na Ronald Kampamba katika dakika ya 51 kabla ya Kili Stars kusawazisha kupitia kwa Mbwana Samatta dakika ya 65 kipindi cha pili.
Wachezaji wa Kilimanjaro Stars waliopata penalti ni Mbwana Samatta, Erasto Nyoni, Himid Mao, Amri Kiemba na Ramadhan Singano 'Messi'. Waliokosa ni Haruna Chanongo, Mrisho Ngassa na Kelvin Yondani
"UZINDUZI WA CLUB MAISHA MORO NI NOMA, XTREME DEEJAYZ NDANI YA MAZOEZI MAKALI"

No comments:

Post a Comment