Pages

Thursday, December 19, 2013

LULU AWATONESHA MASHABIKI WA KANUMBA ASHAURIWA AWE MAKINI KWA UROPOKAJI WAKE KWANI HAWAJASAU YALIYOTOKEA...!!!

Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’.

 
Na Waandishi Wetu 
SURA ya mauzo katika sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ametoa ya moyoni kuwa kama siyo kuwekwa nyuma ya nondo za Mahabusu ya Segerea, Dar basi yangemkuta mazito. 
"MASKANI BONGO NI ZAIDI YA GAZETI USIKOSE KUPATA KOPI YAKO KILA JUMATANO"

No comments:

Post a Comment