::XDEEJAYZ-TANZANIA::

Pages

▼

Tuesday, December 24, 2013

HII NDIYO RATIBA NZIMA YA BURUDANI CLUB MAISHA DODOMA, MTWARA, MBEYA, MOROGORO NA DAR MSIMU HUU WA SIKUKUU..!!



Na Sakina Shabani
Kampuni ya Entertainment Masters LTD inayomiliki Club Maisha zote Tanzania, Dodoma, Mbeya, Ntara,Morogoro na Dar imetangaza ratiba nzima ya burudani kwenye Club Maisha zake  zote.
Akiongea na Xdeejayz Meneja wa kampuni hiyo Mr Ndawula alisema “ Ni wiki mbili za kukumbukwa nchini Tanzania hasa kwa wapenda burudani wa mikoa yote kunakopatikana Miasha Club hivyo watu wafike kwa wingi kujionea burudani tofauti” Alisema Mr Ndawula
Aidha Meneja huyo alitoa pongezi kwa wakazi wa mji wa Mogorogo wale wote waliofika kwenye uzinduzi wa Club Maisha kwani ulikuwa uzinduzi wa aina yake maelfu ya watu walifika kujionea uzinduzi huo huku wengi wakionekana kudatishwa na kikosi kazi cha Xtreme Dejeeyz Drummer Live Dj .
 Meneja huyo alisema burudani zimeanza mapema wiki siku Jumanne na zitaendelea hadi Jumapili huku baada ya  Jumatatu ijayo Jumanne tena mshike mshike hadi mwakani.
"GAZETI LA MASKANI BONGO MTAANI KESHO USIKOSE KOPI YAKO"

Unknown at Tuesday, December 24, 2013
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.