Livingstone Mkoi ambae ni mwandishi mwandamizi wa blg hii na DTV. KSHOTO fundi mitambo aitwae Chabo wa XTREME DEEJAYZ ambao watu hao wamewasiri mchana wa leo Mkoani DODOMA na hapa wakiwa kituo cha mabasi DODOMA mjini ambapo majembe hayo yapo DODOMA kwa ajili ya show ya LIVE DJ DRUMMER itakayofanyika kesho ndani ya kiota namba moja cha burudani mkoani humo CLUB MAISHA DODOMA.
No comments:
Post a Comment