Pages

Tuesday, November 12, 2013

ANGALIA IJUMAA ILIYOPITA ILIVYOKICK KWENYE USIKU WA XTREME DEEJAYZ

 

Moja kati ya mafuns wakubwa wa #TEAM XTREME akiwakilisha kama kawa maisha siku ya ijumaa, palikucha sana xtreme walipanda kwenye machine kuanzia mida ya saa 6 usiku kutoa burudani mpaka saa kumi usiku, usikose maishani kila ijumaa na bila kusahau ijumaa hii  tupo kama kawaida NDANI YA MAISHA CLUB DAR.  na siku ya jumamosi ya tar 16 tutakuwa  NEW MAISHA CLUB MBEYA.kwa mara ya kwanza wakazi wa mbeya wakae tayari kwa burudani hii kali.













XTREME DEEEJAYZ WANAVALISHWA NA DUKA LA HUSSEIN PAMBA KALI lililopo kinondoni studio na sinza kumekucha.

No comments:

Post a Comment