Pages

Friday, October 25, 2013

PRODUCER/ MWANAMUZIKI NAS B ATUMIA MILIONI 33 KUTENGENEZA STUDIO YAKE YA PAMOJA RECORDS IPO MAGOMENI MAPIPA JIJI DAR!

 
Nab B akiwa ndani ya studio yake mpya ambayo anasema imegharim zaidi ya shilingi milioni 33 kwa gharama za kukodi jengo zaidi ya miaka minne, vifaa vya kurekodia nk ambapo studio hiyo sasa hivi itafanya kazi kisasa tofauti na zamani. hongera sana Nas B kwa kazi nzuri!

No comments:

Post a Comment