PENNY ADAIWA KUTUMIA BANGI ILI KUJIEPUSHA NA MSONGO WA MAWAZO YA MAPENZI...!!
Hivi karibumi penzi kati ya DIAMOND na
PENNY linaonekana kuingia mdudu mara baada ya zilipendwa wa Diamond
kulitia dosari penzi hilo kwa kudaiwa kurudisha mahusiano yao upya na
huku vuthibitisho vikionyesha baadi ya picha ambazo ziliwaonyesha wawili
wao wakiponda raha huko HONG KONG.
Ndipo uvumilivu ulipomshinda mwanadada
PENNY na kuamua kutoka na zilipendwa wa WEMA aitwae RAHEEM na ama hiyo
ahaitoshi basi mwanadada huyo amepigilia msumali wa moto kwenye jeneza
la Penzi lake na Diamond pale alipopost picha akiwa navuta kitu
kinachodhaniwa kuwa ni bangi.
No comments:
Post a Comment