Pages

Wednesday, October 9, 2013

KIBAKA ALIYEDAKWA AKIIBA BAJAJI KUMBE NI MTOTO WA MH: MBUNGE!

Mwenye Bajaj akimvuta kwa hasiri ili amtoe nje kijana huyo ambae kwa mujibu wanaomfahamu walisema  ni mtoto wa Mh mbunge mstaafu wa jimbo 1 Jijini Dar!
Kibaka akiwa ndani ya Bajaj akifanya mawasiliano na simu baada ya kupokea kipigo.


Madereva wa Bajaj wakimtazama kibaka huyo.
Bajaj iliyoibiwa tairi.

Kibaka  akipelekwa kituo cha polisi.  

No comments:

Post a Comment