Pages

Wednesday, September 11, 2013

NI HERI MUNGU ANICHUKUE NIKAPUNZIKE: KIJANA ALIYETAFUNWA USO KISHA KUNG'OLEWA MACHO NA BOSS WAKE ALIA!


 Na Waandishi Wetu

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mkazi wa Kijiji cha Nyabibuye Kakongo katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Susuluka (16) anadaiwa kujeruhiwa vibaya usoni na bosi wake, Imani Paulo (36) kwa kung’atwa ng’atwa usoni na kisha kunyofolewa macho, pua na meno kubaki nje, kama ambavyo anaonekana pichani. 
 
Kijana huyo baada ya tukio hilo amekuwa akimuomba Mungu ni heri aichukue nafsi yake kuliko kuendelea kuishi akiwa kwenye hali hiyo.
 

No comments:

Post a Comment