Pages

Monday, September 9, 2013

MAJANGA MAZITO BONGO MUVIE, MSIBA MZITO WA STAA WA BONGO MUVIE!



Mwigizaji Zuhura Maftah Maarufu Kama 
 
Melissa Afariki Dunia jana 8/9/2013 .Kwa taarifa tulizozipata ni kwamba Zuhura aliumwa week chache zilizopita. Ni mwigizaji aliyefanya kazi na bongo movie kwa ukaribu kabla ya kutoka na kuanza kufanya kazi zake binafsi 

No comments:

Post a Comment