
 Abdul Kiba,msanii wa muziki wa  bongofleva akiimba mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa mji wa Tabora  waliojitokeza kwa wingi  kwenye tamasha la  Serengeti Fiesta  2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani   humu.Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni bingwa ya Burudani hapa  nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa kushirikiana na Clouds FM,na  kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake murua  kabisa cha Serengeti Premium Lager. 

  Sehemu ya  umati wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi  kwenye tamasha la Serengeti Fiesta  2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani  humu. 

  Msanii wa muziki  wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia mbele ya wakazi wa mji wa  Tabora waliojitokeza kwa wingi  kwenye tamasha la Serengeti  Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani   humu.Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni bingwa ya Burudani hapa  nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa kushirikiana na Clouds FM,na  kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake murua  kabisa cha Serengeti Premium Lager. 


  Msanii wa muziki wa kizazi  kipya,Linah pichani kati akiwa na madensa wake wakitumbuiza jukwaani   kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa  Al-Hassan Mwinyi mkoani  humu.  
ANGALIA PICHA ZAIDI
ANGALIA PICHA ZAIDI


  Sehemu ya  umati wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi  kwenye tamasha la Serengeti Fiesta  2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani  humu. 

  Anaitwa Amin,mmoja wa wasanii  mahiri akiwaimbisha mashabiki wake  kwenye u kwenye tamasha la  Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi  mkoani  humu. Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni bingwa ya Burudani  hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa kushirikiana na Clouds FM,na  kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake murua  kabisa cha Serengeti Premium Lager. 

  Wenyewe mashabiki waki wanamuita  Baba Levo na yeye kabaki Levo kwenye gemu ya muziki wa bongofleva,ndiye  pichani Baba Levo akiwaimbisha mashabiki wake  kwenye tamasha  la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani  Tabora.  

  Ni shwangwe tu usiku huu kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani Tabora. 
  Wakali wa kudansi kutoka  THT,wakijulikana kwa jina la Makomanda wakionesha umahiri wao wa kucheza jukwaani usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013. 
  Wakali wa kudansi kutoka  THT,wakijulikana kwa jina la Makomanda wakionesha umahiri wao wa kucheza jukwaani usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013. 
  Wanamuita Mzee wa  Masauti,Christian Bella akiwaimbisha mashabiki wake wa muziki wa dansi   kwenye tamasha la Serengeti Fiesta,liinalofanyika usiku huu  kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi. 

  Sehemu ya umati wa wakazi wa mji wa Tabora waliojitokeza usiku huu kwenye tamasha la  Serengeti Fiesta 2013 wakiwa wamewasha tochi za simu zao wakiashiria  kushoo love ya pamoja 
  Msanii wa muziki wa  bongofleva,Rachael akicheza jukwaani na mmoja wa madensa wake,huku  mashabiki wake wakipiga mayowe ya shangwa kuonesha kukunwa vilivyo na  msanii huyo. 
  Msanii wa muziki wa  bongofleva,Rachael akicheza jukwaani na mmoja wa madensa wake,huku  mashabiki wake wakipiga mayowe ya shangwa kuonesha kukunwa vilivyo na  msanii huyo. 
  Sehemu ya  umati wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi usiku wa jana kwenye tamasha la Serengeti Fiesta  2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani   humu.Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni bingwa ya Burudani hapa  nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa kushirikiana na Clouds FM,na  kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake murua  kabisa cha Serengeti Premium Lager.Picha Kwa Hisani ya Michuzijr Blog
No comments:
Post a Comment