Pages

Tuesday, July 16, 2013

MSANII WA COMEDIAN POSA AFARIKI DUNIA LEO KATIKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA
























TANZANIA COMEDIAN'S ASSOSIATION inasikitika kukuambia kuwa comedian mwenzetu posa...
amefariki dunia jana saa 3 asubui katika hospitali ya mwananyamala alipokuwa amelazwa taarifa zaidi za msiba utakapokuwepo tutaambiana ila watu bado tupo hospitali tafadhari mjulishe na mwenzio.. R.I.P POSA.kwa habrai na picha kuhusu msanii huyu utazipata hapa hapa KWENYE BLOG YAKO.
 
chanzo MKWERE ORIGINAL

No comments:

Post a Comment